kwa Tanzania Bacca mna tunacho mdai. he is very good. naona next season yanga wampe uhuru akacheze ulaya. hata trial tu.
wasting his potential at yanga.
huyu hata Manchester United anapita.
Kinachoendelea Ufaransa,
kilichotokea Marekani wakati wa maandamo ya Black Lives Matter, na uhalifu mkubwa kwenye nchi ambazo watu weusi ni wengi kama vile Brazil, au nchi ya Afrika yenye...
Mkutano wa Chadema wa Singida Magharibi ulioongozwa na Tundu Lissu umefana
Lissu amewataka wananchi kufanya mabadiliko kwenye serikali za mitaa ili kuondoa Migogoro
Naye John Pambalu ameitaka...
Mimi na mume wangu tuna miezi minne sasa lakini mimi nimekua nikimkosea sana wala hanipigi anaishia kulia tuu na baadaye kuniambia kanisamehe.
Juzi amekuta nimechat na mwanaume kimapenzi...
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?
Mnatuonaje Watanzania...
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.
Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.
Awe baba kwa watoto wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.