Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Pambano la Mwakinyo na bondia kutoka Ghana limeshindwa kufanyika kwa kuwa Rais wa WBO, Samir Captan hakuwepo uwanjani kuleta mkanda. Maelezo ya Hassan Mwakinyo ni kuwa jamaa hajalipwa hela za...
0 Reactions
1 Replies
47 Views
Sababu alizotaja Mwakinyo Captain anatafutiwa dola Captain hapatikani kwenye simu Captain hajafika uwanjani Pia soma: Pambano la Mwakinyo laahirishwa, mkanda uliokuwa unapiganiwa haukuletwa...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Sasa mambo ni njenje,hakuna Siri Tena. Je vita vya nyukilia ndio maangamizi mengine kama yale ya sodoma na Gomorra? Je Mungu huko aliko anajisikiaje? Je Dunia inaelekea wapi? Hawa watu mbona...
1 Reactions
0 Replies
1 Views
A
Anonymous
Mim ni mmoja wa wahanga katika kukopa mkopo katika taasisi ya fedha ya kukopesha inayoitwa Bayport Financial Service ambapo ni mwezi sasa toka nilipoomba mkopo mpaka rejesho la kwanza limefanyika...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Itakumbukwa simba ndio walipeleka kibegi mlima kilimanjaro, walifika hadi kileleni, sisi tunaojua mambo haya tuliamini kabisa kuwa mwaka huu ulikuwa wetu, yalikuwa masharti ya mtalaamu wetu kuwa...
2 Reactions
7 Replies
160 Views
Wakuu heshima yenu, Mimi ni kijana Aged 27 sijaoa ila nina mchumba tangu mwaka 2020 ila bado hatujatambulishana makwetu, sina mtoto na wala sijawahi kumpa ujauzto manzi yeyote. Kilichonileta...
3 Reactions
60 Replies
1K Views
A
Anonymous
Mimi ni Mkazi wa Ifakara Mkoani Morogoro, nina kero moja ambayo naona kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele mambo yanazidi kuharibika, bora niseme hapa kupiti JF ili ujumbe uwafikie wahusika...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
ON SALE (EES) - Price 23.7ml 0768160670 👑 CROWN ATHLETH 🆕✔️ MODEL KALI SANA Color 🖤 BLACK MWAKA * 2009* Engine 2490CC Low mileage 55000 New tyre Clean sana 0768160670 EXCHANGE ALLOWED
0 Reactions
0 Replies
1 Views
A
Anonymous
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl. Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hukumu ya kihistoria imetolewa katika mahakama za huko America, Kwa Rais mstaafu wa nchi hiyo, Donald Trump, kukutwa na hatia Kwa makosa 34 ya jinai, aliyoshitakiwa nayo. Hiyo inamfanya Donald...
4 Reactions
18 Replies
556 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,079
Posts
49,764,415
Back
Top Bottom