Habari nipo Dar es salaam,natafuta rafiki wa kike sichagui dini Wala kabila ila awe mwenye umri wa miaka 18-30 ili baadae awe mke wangu aliyetayari anitafute pm ntampa namba yangu ila awe mkweli.
Nimeandikq threads kama tatu za samia with concrete takwimu na data haswa lakini wanafuta. Hawataki kumsikia kabisa samia sijui kawafanyaje!!
Nahisi kwa vile kuna uwekezqji kila mahali wakati...
Huyu Sheikh siku zote makalio ya wanawake ndo ajenda yake. Ameyabatiza majina mengi ya ajabu na mengine yakidhalilisha utu wa mwanamke. Lakini eti Leo ndo anatumika na UVCCM Kwa agenda kificho...
Katibu mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania Allen Sisi ameitaka Serikali kuufungia Mitandao wa X kwa Sababu unahamasisha mapenzi ya Jinsia Moja
Source: Mwanahalisi Digital
Aidha Uvccm nao...
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
Habari
karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira
Karibu...
Kwenye ule mgogoro wa Ziwa Nyasa ndo Malawi walitaka vita na Tanganyika/Tanzania? Aisee ngoja nikaushe tu. Ndege inatafutwa siku 2 hapo hapo Lilongwe? Bado mnaomba Msaada dunia nzima. Hapo hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.