Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana.
Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa...
Pengine tunayaona haya kwenye matv ama makazin na pengine mitaani tunamoishi.
Hebu tuambiane ukweli ni athari zipi zinazopatikana kwa dada zetu kuvaa nguo nusu uchi?
Habari wakuu, kama title inavojieleza....tunaelekea mwaka mpya wa kiserikali(kibajeti)
Hofu yangu kuu ni kua tamisemi hawajafungua ajira za walimu na watu wa afya hadi mda huu naandika uzi
swali...
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu.
Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
Halafu walivyo wa hovyo ili Kutuzuga Watanzania wakidhani Wote tunafanana nao kwa Akili Mbovu ( Hayati Baba wa Taifa alipenda sana kuwaita Wapumbavu ) walizonazo wamejifanya kusema Mtandao wa X (...
Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.