Na mara kwa mara ninapoziona Angani huwa nakuwa na Hofu kwani nasikia nyingi ni za zamani hazifanyiwi Service. Pona pona yake ni Mganga wake Hatari na Mizimu ya Kabila moja Afrka lenye Urafiki...
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
Mpaka muda huu inatafutwa haijulikani ilipo na muda wowote Rais wa Malawi anaenda Kuzungumza na Wamalawi.
---
Taarifa kutoka Ofisi ya Rais ya Malawi imesema kuwa ndege iliyokuwa imembeba Makamu...
Habari madaktari wetu!
Mgonjwa amepata uvimbe kwenye viungo (Swollen lymph nodes)
Mitaani huwa kuna imani kuwa mgonjwa akishafikia hatua hiyo ndiyo dalili za mwisho za kufariki. Je ni kweli?
au...
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
Kino Yves, Ni mfaransa anaezunguka nchi mbali mbali na baiskeli, Haendi kilometer nyingi kwa siku, ni kilometa kama 60 kwa siku, pia hutumia baadhi ya siku kupumzika na kutalii sehemu alizofikia...
Kwa mlolongo wa kutoa huduma kwenye taasisi muhimu za serikali mfano ukienda nida kupata kitambulisho unachukua mda mrefu sana mpaka kupata namba ya nida na kitambulisho chenyewe unaweza usipate...
Assalam aleikyum guys
Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.