Mbowe aliingia kwenye uenyekiti wa chama mwaka 2004, wakati huo Rais akiwa ni Mkapa.
Wakati Mbowe anaingia kwenye uenyekiti John Mnyika alikuwa na miaka 25, John Heche alikuwa na miaka 23, Tundu...
Hili ni angalizo ambalo nalipeleka kwa Mwenyekiti Mpya wa Kanda hiyo Joseph Mbilinyi na Timu yake yote.
Kyela iko tayari muda mrefu sana kwa mabadiliko, iko tayari kuliko hata Mbeya Mjini, lakini...
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo:
1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya...
Rais wa Malawi, Dk Lazarus Chakwera ametangaza kupatikana ndege ya Jeshi la Malawi iliyokuwa imembeba makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Klaus Chilima (51) ikiwa imepata ajali katika msitu wa...
My Take
Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa ,ni spana tuu Kwa kwenda mbele.
Tafuteni hoja nyingine 👇👇
https://www.instagram.com/p/C8ErwLFiBJh/?igsh=a2JtbTNxNHJzbGw4
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
Kino Yves, Ni mfaransa anaezunguka nchi mbali mbali na baiskeli, Haendi kilometer nyingi kwa siku, ni kilometa kama 60 kwa siku, pia hutumia baadhi ya siku kupumzika na kutalii sehemu alizofikia...
Na mimi kazi mliyonipa nasimama na ninaifanya na mnashuhudia matusi ninayotukanwa mpuuzi, hana maana, huyu Bibi ana hivi, mambo tele lakini najigeuza chura.
Kwahiyo nyingi zinapigwa kelele...
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu.
Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.