Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza...
10 Reactions
88 Replies
4K Views
Jana, habari zilisambaa kwamba ndege ya Makamu Rais wa Malawi Saulos Chilima ilipotea wakati wa safari kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu (Lilongwe) kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Kwa maoni yangu, hulka ya huyu mama yetu kipenzi inaendana na Maulid Kitenge au Mwijaku. Amteue mmoja kati ya hawa vijana kuja kuchukua kitengo. Haya ni maoni yangu japo sipendezwi na mambo yao...
3 Reactions
18 Replies
387 Views
Ni siku nyingine tena, nawasalimu Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini? Wanawake...
9 Reactions
91 Replies
2K Views
Habari Ndugu yangu, Kiongozi wangu, Rafiki yangu wa Almasi (Platnum Friend) Najua wewe ni sehemu ya watu wanaoniunga mkono Kuna jambo nahitaji msaada wako kidogo. Kuna biashara yangu...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya...
2 Reactions
48 Replies
444 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views
MDAU MMOJA KAANDIKA TWITTER, WE NEED TO KNOW WHETHER ITS TRUE OR FALSE. LISEMWALO LIPO. 1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio...
6 Reactions
47 Replies
723 Views
Wote dini moja ya kiislamu, lugha moja ila kama ilivyo kwa binadamu lazima atafute sababu za kuuana, hawa wanauana baina ya ukoo kwa ukoo. ================== A violent clash over the weekend...
2 Reactions
17 Replies
343 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,096
Posts
49,849,231
Back
Top Bottom