Kwa muda mrefu sana, CHADEMA wamekuwa wakilaumu kukwama kwa maridhiano kwa sababu ya CCM kutokukubaliana na madai yao mengi. Jambo hili liliwashangaza Watanzania wengi wanaofuatilia siasa, kwani...
Nchi ya Namibia imefanya mambo makubwa sana, mpk unajiuliza Tanzania tulikosea wapi siye? Nadhani tumefika hapa kwasabb ya siasa chafu na uongozi mbovu. Namibia ina rasilimali gani za kuizidi...
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.
Lililonileta ni...
Walimu zaidi ya 50 kutoka Katika shule za msingi zipatazo 46 katika Tarafa mbalimbali Wilayani Rombo, Mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuuza Rasilimali zao kama vile mbuzi, kuku na baadhi ya vitu...
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani?
Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
Wakuu
Nimeskia sana telesi kuwa kutakuwa na swap deal kati ya yanga na mazembe
Means musonda kwenda Congo na baleke aje yanga ..
Huu usajiri kwa kweli tunaenda kupigwa kama kweli, pakubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.