Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa ccm walimpinga sana ila hakuhofu...
Mchezaji Wa zamani Wa Simba sc Dejan anaongoza katika kinyanganyiro Cha mfungaji Bora uko Serbia [emoji1212].
Na Hizi hapa ni Takwimu zake
[emoji843]MECHI 38
[emoji843]MABAO 30...
Wale wenye new baby born kids au mnaotarajia, njooni mchukue kwa ajiri ya mtoto wenu.
viko viwili (2)
kila kimoja ni 140k + godoro
bei ni fixed wakuu
0697224996
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.
Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.
Awe baba kwa watoto wake pia...
Tukio la Kutenguliwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu Alhaji Dr. Yahaya Nawanda baada ya tuhuma za kulawiti binti mwenye umri wa miaka 21 Mwanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kwenye maegesho ya THE CASK...
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani?
Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote....
Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.