Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Siongei sana. Sina maneno mengi! Video yenyewe iliyosheheni operation za Hezbollah inajisemea. Tazama! https://m.youtube.com/watch?v=JpONxjW0X9Q
4 Reactions
61 Replies
1K Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
46 Reactions
341 Replies
5K Views
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
7 Reactions
334 Replies
9K Views
Ndugu zangu Watanzania, Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu ,amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi...
2 Reactions
21 Replies
226 Views
Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa ccm walimpinga sana ila hakuhofu...
3 Reactions
12 Replies
154 Views
Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba
2 Reactions
6 Replies
89 Views
Naunga mkono hoja ya RC Chalamila,endelea kuwapiga spana. Haiwezekani mtu mzima una miaka kuanzia 30 na kuendelea uwe unamlaumu Samia Kwa umaskini wako,Hilo halipo na hii tabia ndio inafanya watu...
1 Reactions
14 Replies
193 Views
Kwakweli hii kitu imekuwa kawaida kabisa kwa sasa. Wadada wetu tena wengine kwa kupenda wenyewe kabisa wanaruhusu kufanyiwa mchezo huu. Najiuliza tatizo ni nini hasa? Ni mfumo wa maisha...
10 Reactions
265 Replies
41K Views
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambae anafanya kazi mnaishi wote harafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu. Nina jamaa yangu anamkewe wanaishi wote, huyo mkewe alikuwa...
3 Reactions
3 Replies
41 Views
Habari Zenu Ndugu Zangu Wa Jukwaa Hili La Biashara Ni Matumaini Yangu Kuwa Ni Wazima Wa Afya Na Mnaendelea Vizuri. Bila Kupoteza Muda Ningependa Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada Iliyonifanya Hadi...
0 Reactions
1 Replies
12 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,198
Posts
49,851,771
Back
Top Bottom