Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa ccm walimpinga sana ila hakuhofu...
9 Reactions
64 Replies
865 Views
Kwanini Bongo ukimkopesha mtu siku ya kumdai inabidi utafute sababu na matumizi na maelekezo ya kwanini unaitaka pesa yako Je hii ni halali kweli yani pesa ni yangu na bado nilazimike kutunga uongo
0 Reactions
10 Replies
44 Views
Ndugu zangu Watanzania, Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu ,amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi...
2 Reactions
31 Replies
459 Views
Bodi ya mikopo imefungua rasmi dirisha la maombi. Kazi kwenu.
2 Reactions
25 Replies
577 Views
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu. Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
5 Reactions
14 Replies
398 Views
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
7 Reactions
354 Replies
10K Views
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni...
63 Reactions
248 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya...
7 Reactions
85 Replies
5K Views
My Take Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa ,ni spana tuu Kwa kwenda mbele. Tafuteni hoja nyingine 👇👇 https://www.instagram.com/p/C8ErwLFiBJh/?igsh=a2JtbTNxNHJzbGw4
0 Reactions
6 Replies
47 Views
Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa Je anaweza kupata...
1 Reactions
1 Replies
6 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,235
Posts
49,852,208
Back
Top Bottom