Ndugu Wanajamvi,
Ninawaletea mjadala wenye uzito wa kielimu na kifikra kuhusu maendeleo mapya katika teknolojia ya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mjadala...
Je, ni sahihi kusema CHADEMA ina wenyewe ambao wanaimiliki na hawataki kuachia madaraka?
Utamu anaouona Mbowe akiwa tu mwenyekiti wa CDM, angeupata urais si angetupilia mbali ukomo wa urais...
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
Na mara kwa mara ninapoziona Angani huwa nakuwa na Hofu kwani nasikia nyingi ni za zamani hazifanyiwi Service. Pona pona yake ni Mganga wake Hatari na Mizimu ya Kabila moja lililoamua Kumlinda...
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.
Lililonileta ni...
Profesa Juma Athuman Kapuya amejitokeza na kuwakemea wote wanaomchafua kwa kumhusisha na Taaisi ya Athuman Kapuya ambayo ilifungiwa na serikali kwa kuhusika na kashfa ya ushoga.
Kapuya amesema...
Kino Yves, Ni mfaransa anaezunguka nchi mbali mbali, kwa Adrica alianzia Misri, Sudani, Ethiopia, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na sasa yupo kwetu
kaelezea vizuri historia ya Tanzania mwanzoni...
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake
Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM...
Mpaka muda huu inatafutwa haijulikani ilipo na muda wowote Rais wa Malawi anaenda Kuzungumza na Wamalawi.
---
Ajali ya ndege Malawi, makamu wa rais Saulos Chilima na maofisa 9 wasakwa tangu saa 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.