Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wana Jukwaa, Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa...
13 Reactions
69 Replies
3K Views
Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwanza kilimo hiki kinakubali sehemu kubwa nchini. Pia kina faida kubwa kwa ekari kulinganisha na bhangi na muhimu kuliko vyote Katika taasisi ya kupambana na dawa za kulevya nchini hamna sehemu...
3 Reactions
17 Replies
415 Views
Mkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe. Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
8 Reactions
208 Replies
1K Views
  • Suggestion
Utangulizi Kushinda shindano la "Stories Challenge" na kuibuka mshindi wa shilingi milioni 50 ni tukio la kipekee linaloweza kubadili maisha. Malipo haya ni fursa adhimu ya kuweka msingi imara wa...
0 Reactions
2 Replies
88 Views
Kura za maoni zilizotolewa nchini Ufaransa zinaonyesha kuwa orodha ya Marine LePen imepangwa kupata karibu 30%, wakati orodha ya Macron imewekwa kwa karibu 15%. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tuokoe Muda wakuu. Wajumbe wa Simba upande wa wanachama katika Bodi wameshakana klabu kupokea 20B kutoka kwa anayedaiwa ni mwekezaji aliyenunua 20B. Ikumbukwe hawa wajumbe ndo wawakilishi wa...
2 Reactions
12 Replies
266 Views
Wapalestine watakwisha hivihivi tunajionea Juzi kati walitaka kupata taifa la kuwasaidia, lakini mara tu ya kutaka kuanza mpango huo, nchi hiyo ikajikuta inapoteza Rais na waziri wa mambo ya nje...
1 Reactions
8 Replies
94 Views
Jana usiku, nilikuwa mmoja wa watu niliobahatika kuona mahojiano ya baadhi ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba kwenye social media moja, nilisikiliza sana hoja za mjumbe anajiita CPA Issa...
10 Reactions
38 Replies
960 Views
Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
17 Reactions
552 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,775
Posts
49,841,110
Back
Top Bottom