Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa sasa hali ya hewa ndani ya Simba sc aipo sawa baada yakuibuka madai tofautofauti juu ya Muwekezaji wao Mo Dewji kuidai Simba pesa zake ambazo alikuwa anazitoa nje ya mkataba wake wa uwekezaji...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Afande IGP Wambura, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni ,taratibu na tamaduni mbalimbali zilizopo. Iweje Leo watu waamue tu kuwaibia Watanzania wenzao na ninyi...
1 Reactions
5 Replies
112 Views
Habarini jamani..Kuna binti niliwahi kuwa katika mahusiano nae miaka ya nyuma kipindi tupo secondary lakini mahusiano yetu yalivunjika mara baada ya sote kujiunga na chuo Kwa sasa ni mke wa mtu...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Why Kenyans considered as pure Swahili speakers in East Africa compared to Tanzanins
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ni siku nyingine tena, nawasalimu Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini? Wanawake...
7 Reactions
63 Replies
1K Views
Kiwanja kipo Kimara Temboni Barabara ya kwenda Matosa Ukubwa ni square meter 1,200 Bei ni sh. 100,000,000/= (Milioni mia moja) Maongezi yapo kwa mteja serious Kipo jirani na Kanisa katoliki...
0 Reactions
19 Replies
101 Views
Sisi wengine tumeletwa duniani tu kujaza choo kama sio kuota jua.
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima...
5 Reactions
56 Replies
2K Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
77 Reactions
5K Replies
267K Views
Wafanyabiashara wa vifaa vya michezo, tunayo furaha kubwa kuwafahamisha kuwa sasa tuna msambazaji (Supplier) wa jezi original zenye ubora wa hali ya juu kutoka timu mbalimbali maarufu za Ulaya na...
0 Reactions
7 Replies
87 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,906
Posts
49,845,262
Back
Top Bottom