Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Usiku wa jana kulifanyika hafla ya utoaji Tuzo za Wanamichezo bora mwaka 2023 katika ukumbi wa The Super Dome Ifuatayo ni orodha ya waliobeba tuzo za wanamichezo Bora mwaka 2024 1.Timu bora ya...
1 Reactions
12 Replies
94 Views
Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika. Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia...
3 Reactions
62 Replies
949 Views
Kwema humu, nimeona kwenye vyanzo mbalimbali kuhusu oparesheni ya wale dada zetu na kwa bandiko hili naomba niwaite "wajasiriamiili" au "rasilimali watu" ni kweli kumekuwa na idadi kubwa ya wadada...
1 Reactions
5 Replies
154 Views
  • Suggestion
Kupitia mfumo wa kiditali bima ya AFYA VIKOBA itawezesha makundi tegemezi kama mwanafunzi, ombaomba nk kumudu gharama za matibabu kwa kuchangia Tshs 150 kwa siku, 1000 kwa wiki na 45,000 kwa...
7 Reactions
7 Replies
261 Views
Habari wapendwa. Naomba utizame majani ya hili ua then unitajie dawa inayoweza kuokoa hili ua lisife. Nitabarikiwa kama atanishauri mtu mwenye uhakika na anachoongea mana mpaka nakuja kutafuta...
3 Reactions
5 Replies
15 Views
Ili jambo linazidi kufichwa sana ila litakuja kujitokeza kwenye magari ambayo kwa sasa ndio teknolojia inataka.mfano gari za tesla zimelalamikiwa sana kuwa zinaona watu ambao hawa onekani wakiwa...
5 Reactions
17 Replies
193 Views
Unakubaliana na huyu mdau kwa kiasi gani.
1 Reactions
9 Replies
39 Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
11 Reactions
155 Replies
2K Views
Wakuu zamani vijana wengi wa kikatoliki moja kati ya ndoto zetu ilikuwa ni kuwa Mapadre. Mimi binafsi nilijichanganya sana Huko Rombo, parokia ya Mkuu wakati huo nilikuwa napenda sana Shirika la...
9 Reactions
77 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,838
Posts
49,843,257
Back
Top Bottom