Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung. Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani. Kuna jamaa angu...
0 Reactions
18 Replies
332 Views
Saivi sio ajabu kukuta mlinzi yupo lindoni lakini kaweka bunduki yake pembeni anachat au kajisahau mazima kwenye tiktok au Instagram Mfagizi kaegemea ufagio au mopa anachat WhatsApp Nesi au...
3 Reactions
14 Replies
209 Views
Mfadhili wa zamani wa Simba Azim Dewji amewatuliza mashabiki wa timu hiyo kuacha kuendelea kuwashurutisha viongozi wao kujiuzulu akisema hatua hiyo itaibomoa timu yao. Dewji ameyasema hayo leo...
0 Reactions
1 Replies
32 Views
MAMBO HAYA USIMWAMBIE MWANAUE WAKO, HATA KWA KISU SHINGONI:- Mwanaume aliyekutoa Bikra [aliyeku'bikiri], hapa hata kama wewe ni malaika utamuumiza sana mwanaume, hatokaa asahau, ataumi sana...
0 Reactions
15 Replies
320 Views
https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm Huko ni Burkina Faso. Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka...
29 Reactions
103 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views
Mkurugenzi wa CHADEMA John Mrema amesema kitendo cha Wanachama wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA Ukurasani X Mrema amesema Sheria za...
6 Reactions
92 Replies
1K Views
Mpaka muda huu inatafutwa haijulikani ilipo na muda wowote Rais wa Malawi anaenda Kuzungumza na Wamalawi. Chanzo: BBC Dira ya Dunia hivi punde.
4 Reactions
35 Replies
666 Views
Nimeona hiyo habari inatangazwa na Al jazeera Bado nafuatilia
0 Reactions
3 Replies
60 Views
Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu ametoa taarifa kuwa Kesho anaelekea Singida Kuungana na Makamu mwenyekiti mh Tundu Lissu Pambalu na Timu yake wataanza kuonekana kwenye Mikutano ya Tundu Lissu...
3 Reactions
43 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,955
Posts
49,846,281
Back
Top Bottom