Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia. Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa, Hapa chini nimeambatanisha dawa...
8 Reactions
130 Replies
3K Views
Ni siku nyingine tena, nawasalimu Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini? Wanawake...
2 Reactions
19 Replies
279 Views
Habari wakuu Naomba kwa mwenye mchongo wa kazi kwa binti. Anaishi na bibi yake na bahati mbaya kapunguzwa kazin kwenye kampuni ya usafi na yeye ndio tegemeo kwa bibi yake. Yuko Mwanza Igoma ana...
0 Reactions
7 Replies
90 Views
Ili jambo linazidi kufichwa sana ila litakuja kujitokeza kwenye magari ambayo kwa sasa ndio teknolojia inataka.mfano gari za tesla zimelalamikiwa sana kuwa zinaona watu ambao hawa onekani wakiwa...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
Nina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha...
26 Reactions
191 Replies
14K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji...
-2 Reactions
46 Replies
328 Views
Ukifika jeshi kabla ya kuanza mafunzo kuna ile introduction to Depo, kwenye introduction to Depo mutazungushwa maeneo yote ya kambi , mutapewa miiko na amri zote. Ili baadaye ukikosea ujue kabisa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu Engineer naona kaamua kumpa mpinzani Raila Odinga urais wa Taifa la Kenya badala ya William Ruto. Kalisema jina lake kwa utulivu na uhakika. Nawashauri wasiiweke tena Kenya kwenye mipango...
1 Reactions
9 Replies
246 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,828
Posts
49,842,992
Back
Top Bottom