Saivi sio ajabu kukuta mlinzi yupo lindoni lakini kaweka bunduki yake pembeni anachat au kajisahau mazima kwenye tiktok au Instagram
Mfagizi kaegemea ufagio au mopa anachat WhatsApp
Nesi au...
Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na...
Jirani yangu alizidisha mpaka akaingia kwenye eneo langu, ni kweli eneo lake ni dogo inaweza kuwa nusu ya eneo langu,
baada ya kuvuka mpaka ikabidi nimfuate kwa nia nzuri tu nikijua labda ni...
Naziona vitu vipya kabsaa mtaani na mm Nina shida Kweli ya usafiri ningepata hyo pikipiki hakika itanisadiaa kwenye mambo yangu mengi snaa.
Ama hakika mam anafanya Kaz kubwa sna kuliongoza taifa...
Mkurugenzi wa Chadema mh Jon Mrema amesema kitendo Cha Wanachama.wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA
Ukurasani X mh Mrema amesema Sheria...
Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara
Kuna mahali nilikua na kakibanda...
Kuna tetesi kuwa Nabi ameamua kwenda kufundisha klabu ya Kaizer chief baada ya kufikiana makubaliano ya pande zote mbili.
Baada ya kuifundisha Yanga kwa misimu miwili yenye mafanikio kwa ngazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.