Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu vijijini kulikuwa na ligi inaendelea katika kijiji kimoja wapo hapa nchini Tanzania. Niache unafki nimevutiwa sana na uchezaji wa vijana wawili katika ile ligi. Mmoja ni...
12 Reactions
25 Replies
455 Views
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
2 Reactions
6 Replies
82 Views
Ninavyofahamu Tanzania ndio nchi iliyobarikiwa kila aina ya Rasilimali hapa duniani na tunategemewa na nchi mbalimbali Sasa Nimeshangaa sana kumsikia Rais Ruto akitamba Kwamba wao Kenya ndio...
1 Reactions
22 Replies
246 Views
Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu , yani parachichi moja hapo ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6 Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu #msaka_ajira
2 Reactions
25 Replies
242 Views
Umeil Kheir, mwanamama mtangazaji wa Radio DW Swahili ya Bon Ujerumani amestaafu Leo. Ameitumikia radio hii tangu mwaka 1988 akiwa binti kabisa. Atakumbukwa Kwa sauti yake ya aina yake. Mwanamama...
20 Reactions
67 Replies
8K Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
10 Reactions
146 Replies
1K Views
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia. Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa, Hapa chini nimeambatanisha dawa...
6 Reactions
91 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,792
Posts
49,841,449
Back
Top Bottom