Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff.
Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
Ebana wanajamvi inakuwaje
Msomi, mtangazaji, mchekeshaji, mhamasishaji (influencer) na mchekeshaji maarufu DC Mwijaku mtu wa maana sana halaaa amejiwa juu na baadhi ya waislam kwenye ukurasa wake...
1. Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje?
2. Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi...
Ninavyofahamu Tanzania ndio nchi iliyobarikiwa kila aina ya Rasilimali hapa duniani na tunategemewa na nchi mbalimbali
Sasa Nimeshangaa sana kumsikia Rais Ruto akitamba Kwamba wao Kenya ndio...
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini.
Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
Mheshimiwa Dkt. Betty Mkwasa anatajwa kuchukua nafasi ofisi Kuu. Kwa hakika tumepata jembe. All the best
Pia soma Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka kutolewa Ikulu?
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.