Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza...
10 Reactions
81 Replies
3K Views
Wameanza kwa mbwembwe kama hivyo na ndugu zetu upinde wamepata kipaumbele namna hiyo Website ya AppleBETA iko busy naona soon wale wa dev beta mzigo utakua hewani IOS 18
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafadhali moderator auache Uzi huu ujitegemee. Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa...
0 Reactions
8 Replies
9 Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
11 Reactions
178 Replies
2K Views
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni...
21 Reactions
86 Replies
1K Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
15 Reactions
448 Replies
8K Views
Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya . Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara. Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
2 Reactions
11 Replies
405 Views
Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff. Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
32 Reactions
92 Replies
2K Views
Habari madaktari wetu! Mgonjwa amepata uvimbe kwenye viungo (Swollen lymph nodes) Mitaani huwa kuna imani kuwa mgonjwa akishafikia hatua hiyo ndiyo dalili za mwisho za kufariki, au akikazana na...
1 Reactions
7 Replies
70 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,976
Posts
49,846,635
Back
Top Bottom