Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
10 Reactions
330 Replies
5K Views
Habari wanaforums, naomba kujuzwa Data au MB zinatengenezwa wapi, haiwezekani mtu yeyote kitaa akazitengeneza kimagendo?
25 Reactions
73 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Naomba kujua tafadhali. Kipi bora kati ya hivi : 1. Ninunue mpunga nikoboe zitoke kilo elfu moja niweke ndani kwa ajili ya matumizi ya familia. Au ninunue mpunga, niweke...
0 Reactions
8 Replies
76 Views
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
16 Reactions
162 Replies
3K Views
Leo napita youtube naona bubu anaimba tena cha kushangaza naona anazidi kutrend MC Baba Congo has been trending recently because of his unique approach to rap music, which has connected with...
1 Reactions
5 Replies
99 Views
Guys! Nostalgia is a real disease. Niliangalia katuni utotoni mpaka leo Bado zile theme songs, characters, story lines zinaexist nyuma ya ubongo wangu. Tukutane hapa wazee wa CN, nickelodeon...
10 Reactions
51 Replies
1K Views
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini. Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul...
0 Reactions
44 Replies
765 Views
Jirani yangu alizidisha mpaka akaingia kwenye eneo langu, ni kweli eneo lake ni dogo inaweza kuwa nusu ya eneo langu, baada ya kuvuka mpaka ikabidi nimfuate kwa nia nzuri tu nikijua labda ni...
10 Reactions
30 Replies
370 Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
11 Reactions
159 Replies
2K Views
Dr Mathuki toka Kenya amefurushwa EAC kabla ya kipindi chake cha uongozi kukamulilika. Sasa EAC Ina Katibu Mkuu mpya Bi Veronica. Nini haswa sababu ya kufurushwa Dr Peter Mathuki (PhD)?
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,870
Posts
49,844,453
Back
Top Bottom