Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
11 Reactions
35 Replies
1K Views
Usiku wa jana kulifanyika hafla ya utoaji Tuzo za Wanamichezo bora mwaka 2023 katika ukumbi wa The Super Dome Ifuatayo ni orodha ya waliobeba tuzo za wanamichezo Bora mwaka 2024 1.Timu bora ya...
0 Reactions
4 Replies
8 Views
WAUNGWANA. Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni...
24 Reactions
211 Replies
2K Views
Hivi unaanzaje kuwashitaki QNET? Kikwelikweli kabisa QNET ni matapeli wanaotumia 'FEARS' za mtu kupitia njia ngumu ya kuupanda mlima mkali na mrefu kuyafikia mafanikio kwa kumpa 'shortcut' hewa...
13 Reactions
115 Replies
8K Views
Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC. 𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 : Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema kuwa...
14 Reactions
105 Replies
3K Views
Ni siku nyingine tena, nawasalimu Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini? Wanawake...
2 Reactions
21 Replies
324 Views
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini. Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
17 Reactions
56 Replies
2K Views
Naomba nianze kwa kutoa credit kwa member wa humu jamii forum aliyeandika hiyo title. Kwa kweli imenigusa sana mpaka nikashawishika kuitengenezea mada tofauti. Ebu jiulize ni wangapi wameweza...
1 Reactions
1 Replies
29 Views
This is too much tukutane 2025...hii barabara itatoka na mtu kwenye kiti. Haiwezekani ukanda huu tuzalishe 1. Chai 2. Karatasi 3. Mbao 4. Kahawa 5. Hardboard 6. Pareto 7. Parachichi 8. Nguzo za...
3 Reactions
5 Replies
121 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,833
Posts
49,843,124
Back
Top Bottom