Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
3 Reactions
63 Replies
323 Views
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
18 Reactions
56 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji...
-2 Reactions
75 Replies
602 Views
Katika pitapita zangu vijijini kulikuwa na ligi inaendelea katika kijiji kimoja wapo hapa nchini Tanzania. Niache unafki nimevutiwa sana na uchezaji wa vijana wawili katika ile ligi. Mmoja ni...
12 Reactions
28 Replies
574 Views
Mkurugenzi wa Chadema mh Jon Mrema amesema kitendo Cha Wanachama.wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA Ukurasani X mh Mrema amesema Sheria...
3 Reactions
26 Replies
206 Views
Mungu awabariki hawa wapalestina wazalendo ambao wanawasaidia watateule Israel kuwapa taarifa za kijasusi Mossad na Shin Bet Tiss ya Israel. Kupitia hao waarabu waislam wapalestina wazalendo...
2 Reactions
41 Replies
603 Views
Jirani yangu alizidisha mpaka akaingia kwenye eneo langu, ni kweli eneo lake ni dogo inaweza kuwa nusu ya eneo langu, baada ya kuvuka mpaka ikabidi nimfuate kwa nia nzuri tu nikijua labda ni...
8 Reactions
21 Replies
158 Views
Unakubaliana na huyu mdau kwa kiasi gani.
2 Reactions
15 Replies
105 Views
Habari wanaforums, naomba kujuzwa Data au MB zinatengenezwa wapi, haiwezekani mtu yeyote kitaa akazitengeneza kimagendo?
19 Reactions
48 Replies
746 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,857
Posts
49,843,697
Back
Top Bottom