Umeil Kheir, mwanamama mtangazaji wa Radio DW Swahili ya Bon Ujerumani amestaafu Leo. Ameitumikia radio hii tangu mwaka 1988 akiwa binti kabisa. Atakumbukwa Kwa sauti yake ya aina yake.
Mwanamama...
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia.
Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa,
Hapa chini nimeambatanisha dawa...
Maandiko yanasema Wana wa ngurumo Petro, Yakobo na Yohana hawakuwa na Fedha bali walichokuwa nacho ni " kumpa yule Mlemavu wa Miguu Kutembea"
Yule mlemavu alikaa pale akiamini Fedha (Madera na...
Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza.
Cha kushangaza Tanzania...
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu , yani parachichi moja hapo ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6
Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu
#msaka_ajira
Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff.
Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.