Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mkurugenzi wa Chadema mh Jon Mrema amesema kitendo Cha Wanachama.wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA Ukurasani X mh Mrema amesema Sheria...
3 Reactions
16 Replies
77 Views
Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
3 Reactions
50 Replies
280 Views
Jirani yangu alizidisha mpaka akaingia kwenye eneo langu, ni kweli eneo lake ni dogo inaweza kuwa nusu ya eneo langu, baada ya kuvuka mpaka ikabidi nimfuate kwa nia nzuri tu nikijua labda ni...
7 Reactions
19 Replies
61 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji...
-2 Reactions
67 Replies
552 Views
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na...
35 Reactions
127 Replies
2K Views
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
16 Reactions
154 Replies
3K Views
Habari wanaforums, naomba kujuzwa Data au MB zinatengenezwa wapi, haiwezekani mtu yeyote kitaa akazitengeneza kimagendo?
19 Reactions
44 Replies
636 Views
Habari zenu wadau. Naomba kujua tafadhali. Kipi bora kati ya hivi : 1. Ninunue mpunga nikoboe zitoke kilo elfu moja niweke ndani kwa ajili ya matumizi ya familia. Au ninunue mpunga, niweke...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,853
Posts
49,843,620
Back
Top Bottom