Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
929 Reactions
1M Replies
42M Views
Suuratul Maida Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika...
0 Reactions
7 Replies
60 Views
Mkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe. Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
7 Reactions
114 Replies
508 Views
Samahani, mimi leo nimeamka nikapigiwa simu na mdogo angu akanambia kuwa mama yetu aliota usiku wa kuamkia leo kuhusu mimi, kuwa nilikuwa niko porini, alafu watu wananisemesha ila mimi siwasikii...
0 Reactions
6 Replies
65 Views
Kiwango cha hofu na woga kwa watu kinapanda kwa kasi sana siku hizi! Iko haja kamati za ulinzi na usalama kila mtaa kufanya kikao! Kiwango cha wanaokojoa kwenye mazururu (makopo) kimeongezeka...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari za mchana wanajf, Katika pitapita yangu asubuhi nikiwa nafanya mazoezi, nimegundua watu wengine wenye vyoo vya nje, huingia na chupa kubwa za maji tupu, ndio mdogo, mabeseni nk ili usiku...
3 Reactions
19 Replies
467 Views
Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki. Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam NB Nje...
2 Reactions
37 Replies
463 Views
Habari wakuu natumaini muko vizuri. Maisha yangu yanaendelea kunishangaza kila siku kuhusu nyakati zangu, Nimekuwa nikiishi kama kijana mdogo wa kawaida lakini kumbe jamii hainioni kuwa ni kijana...
31 Reactions
54 Replies
1K Views
Mwamba aliingia kwa wadangaji kwa pupa. Sijui kapotelea mitaa gani
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika. Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia...
3 Reactions
9 Replies
142 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,720
Posts
49,839,191
Back
Top Bottom