Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Lemme start by saying mapenzi shikamooo......After that, am looking for a broken girl just to gimme a company. I want someone to chat with, someone I can explain what happened to...
1 Reactions
15 Replies
123 Views
Ukurasa wa SIASA siku ya leo umejirudiarudia kwa POST za Makonda, Chadema na Kafulila bila kuunganishwa! Huu ni undumilakuwili.
2 Reactions
3 Replies
17 Views
NIELEWE KWA MAKINI SANA. Mungu wa Israel Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
18 Reactions
165 Replies
3K Views
Msikie mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele raia wa Congo DR ambaye kwa sasa anasakata kabumbu la kulipwa Pyramids FC ya Misri. “Pamoja na kwamba kumekuwa na vita kubwa juu yangu kwenye...
9 Reactions
38 Replies
1K Views
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza. Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
7 Reactions
27 Replies
457 Views
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume, Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
12 Reactions
57 Replies
879 Views
Kuna quote Moja inasomeka kwa wadhamini wa UEFA CL HEINEKEN BEER kwamba (cheers to all fans men included) Nimejaribu kutafta namna nielewe nimekosa, wanamichezo tuletane kati apa
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kesi za mirathi na kesi zote za umiliki wa ardhi na majengo zimepata suluhu baada ya Mh Jerry Silaa kuongeza kasi ya kukomesha wale wote wanaosababisha mtafaruko ndani ya jamii Mh raisi Samia...
0 Reactions
2 Replies
66 Views
Eti maridhiano. Acheni utapeli. Mtu anatolewa jela usiku usiku. Anaenda Ikulu na kuna fanyika makubaliano kuwa fanya hivi ili Mapebari wajue kuna demokrasia hapa Tanganyika. Alafu eti tutawapa...
0 Reactions
1 Replies
94 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,088
Posts
49,737,898
Back
Top Bottom