Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Inakuaje Jf; Leo majila ya saa tisa Mchana Namba ngeni imenipigia naona mtu aongei namwambia hallo naona kimya kama dk 1. Moja Kwa moja nimeanza kutukana matusi mengi sana. Baada ya kutukana...
6 Reactions
46 Replies
788 Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
4 Reactions
65 Replies
418 Views
Mkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe. Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
7 Reactions
87 Replies
366 Views
Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali. Wenye sura personal...
5 Reactions
64 Replies
663 Views
Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki. Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam NB Nje...
2 Reactions
32 Replies
389 Views
WAUNGWANA. Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni...
14 Reactions
152 Replies
1K Views
Wanakumbi 🚨🇮🇱GANTZ TO ANNOUNCE PARTY'S EXIT FROM ISRAELI GOVT National Unity chairman Benny Gantz will hold a press conference today at 1:30 p.m. ET, after canceling a Saturday announcement of...
1 Reactions
9 Replies
132 Views
Wanaukumbi. 🚨BREAKING: TAMKO LA HAMAS- MAUAJI YA NUSSEIRAT NA OPERESHENI YA UOKOAJI WA ISRAELI. “Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu Katika jinai ya kikatili ambayo...
2 Reactions
100 Replies
2K Views
Naombeni kuuliza kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu Nimekuwa napenda kunywa chai kila muda ninapokula chakula iwe mchana au usiku. Nahitaji kila nikila chakula basi na kikombe chachai...
4 Reactions
27 Replies
434 Views
Nafuatilia habari mbalimbali ili kujua tulipo na tunapokwenda humu duniani. Kwa tukio ili na mengineyo HAPANA ndg zangu.
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,719
Posts
49,839,038
Back
Top Bottom