Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Jafari Magesa Miaka 31 Mkazi wa Milambo kwa tuhuma za kuunda njama za kumuua mtalaka wake na kitu chenye ncha kali aitwaye Gaudensia Shukuru miaka...
Ifike muda haya mambo yazungumzwe tena. Hivi hawa wazungu wakijua kuwa beberu ni mbuzi dume, tena lile dume haswa wanatuelewa vipi?
Pata picha beberu anapoomba mechi. Kwa lugha nyingine sisi...
Katika kesi iliyokuwa ikimkabili Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump iliyohusu kutumia fedha isivyo halali kumlipa mwanamke aliyelala naye, wazee wa mahakama (jury) 12 wamefikia uamuzi kwamba...
Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo...
Wakati Tanzania ikiendelea kujipambanua kuwa Nchi yenye maendeleo na mazingira mazuri ya kuishi, na Jiji lake la Dar es Salaam likijiandaa kuwa Jiji kubwa zaidi (lenye zaidi ya Wakaazi Milioni 10)...
Nakubaliana na Mtaka,Kuna ma RC na DC wengi tuu wanafanya kazi zao za Kutatua Kero vizuri kabisa ukiacha wale waigizaji wachache kama Makongoro wa Rukwa ambae amezeeka hana jipya.
Lakini majority...
Kutoka Dodoma Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko amezindua matumizi rasmi ya magari ya umeme Kwa Wananchi wanapotaka kuyatumia.
https://www.instagram.com/p/C7nwUkRtb0m/?igsh=MTltOXdyenk3cjZieA==...
Mzuka wanajamvi
Ngebe, Nyodo, majigambo, madharau, hulka, mihemko, husda, kujiona na kiburi cha Julius Malema kinafika ukingoni. Baada ya matokeo ya awali ya uchaguzi Africa kusini kuonesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.