Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbowe aliingia kwenye uenyekiti wa chama mwaka 2004, wakati huo Rais akiwa ni Mkapa. Wakati Mbowe anaingia kwenye uenyekiti John Mnyika alikuwa na miaka 25, John Heche alikuwa na miaka 23, Tundu...
8 Reactions
28 Replies
335 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
6 Reactions
175 Replies
2K Views
Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC. 𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 : Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema kuwa...
12 Reactions
84 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu vijijini kulikuwa na ligi inaendelea katika kijiji kimoja wapo hapa nchini Tanzania. Niache unafki nimevutiwa sana na uchezaji wa vijana wawili katika ile ligi. Mmoja ni...
5 Reactions
9 Replies
153 Views
Huyu jamaa sijui anavutaga bangi kabla ya kuongea!!
2 Reactions
8 Replies
85 Views
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini. Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
8 Reactions
17 Replies
441 Views
Humu wapo members Wana likes 1000 ambazo kiuhalisia zingekuwa pesa zingeweza kununulia vocha ya buku. Wengine wana likes mpaka milioni 1 huko ambazo zingeweza kununulia smartphone kali. Mimi...
2 Reactions
5 Replies
23 Views
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
12 Reactions
91 Replies
1K Views
Wanawake wa kikristo shida ipo wapi?
2 Reactions
17 Replies
123 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,551
Posts
49,833,802
Back
Top Bottom