Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Haya ndio makosa ya mara zote yanayofanywa na waandaji wa hafla za Dar es Salaam, Wanaandaa mambo mengi yote vizuri sana lakini kwenye Burudani wanaboronga. Kwa mfano, kwenye Tuzo za leo 90% ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hello Good afternoon all, Elina Tarkazikis anasema Artificial Intelligence (AI) inaweza kukupa majibu mengi mno hata yale usiyoyahitaji au kuyapenda. Anasema Artificial Intelligence Calculator...
3 Reactions
25 Replies
853 Views
Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki. Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam NB Nje...
2 Reactions
46 Replies
550 Views
Samahani, mimi leo nimeamka nikapigiwa simu na mdogo angu akanambia kuwa mama yetu aliota usiku wa kuamkia leo kuhusu mimi, kuwa nilikuwa niko porini, alafu watu wananisemesha ila mimi siwasikii...
0 Reactions
16 Replies
123 Views
Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika. Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia...
3 Reactions
13 Replies
182 Views
Yani hii Yanga imezidi tambo sana wanatumia upepo mbaya wa Simba kucheza na akili za mashabiki wao ila niwaambie kitu SISI PEOPLE TUTAKUTANA
5 Reactions
23 Replies
681 Views
mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ? Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida, timu kubwa kama al...
3 Reactions
42 Replies
549 Views
Tulidanganywa sana 1. Eti kuna mtu alikuwa akipata mil 7 kwa sekunde kupiti efd 2. Eti nchi inajenga miundombinu kwa hela za ndani wakati mikopo inakipwa kimyakimya 3. Eti tumeingia uchumi wa...
0 Reactions
1 Replies
16 Views
Mungu awabariki hawa wapalestina wazalendo ambao wanawasaidia watateule Israel kuwapa taarifa za kijasusi Mossad na Shin Bet Tiss ya Israel. Kupitia hao waarabu waislam wapalestina wazalendo...
1 Reactions
11 Replies
97 Views
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania. Ukikaa kwenye kisimbusi chako...
3 Reactions
62 Replies
718 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,725
Posts
49,839,424
Back
Top Bottom