Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Eti namtaka nimpeleke lunch anataka nimnunulie kwanza gauni jipya la mtoko! Mnatuwaziaje sisi wanaume lakini?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mkubwa Dawa, hii ndio lugha ambayo vijana wa mitaa wanaitumia, hasa pale mtu mzima anapofanya jambo la kufurahisha ama kushangaza. Mkongwe Juma Kapuya ametangaza kurejea Bungeni 2025 kwa kugombea...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Wanaukumbi. 🚨BREAKING: TAMKO LA HAMAS- MAUAJI YA NUSSEIRAT NA OPERESHENI YA UOKOAJI WA ISRAELI. “Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu Katika jinai ya kikatili ambayo...
2 Reactions
79 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
9 Reactions
225 Replies
2K Views
Ukraine bado wanaendelea kumtia aibu supapawa wenu, sasa sijui nani atawaokoa maana juzi hapa tuliona hata Iran kubwa lenu alishindwa kufanya chochote kwa Israel hata baada ya kutuma makombora...
2 Reactions
17 Replies
336 Views
1. VACANCY. Baada ya kumpoteza mtoto wao wa kiume, familia ya David na Amy haijapata kukaa sawa tena. Wamepoteza furaha yao na wanatazamia kuachana hivi karibuni. Wakiwa safarini, ndani ya gari...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
41 Reactions
302 Replies
4K Views
Eti wakuu pale kwenye ibada inatakiwa kutoa pesa ngapi kama mchango wa sadaka au kiwango chochote ni sawa tu?
5 Reactions
22 Replies
231 Views
WASIKILIZE WATU WENYE MIAKA 40+ 1.Wengi wameolewa/kuoa na ambao hawakujipangia wakiwa na miaka 20 2 .Wengi wameridhika na mafanikio ambayo sio yao 3 Wachache sana utakuta bado wanapambania ndoto...
2 Reactions
5 Replies
74 Views
Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar...
11 Reactions
90 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,679
Posts
49,837,647
Back
Top Bottom