Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini...
1 Reactions
9 Replies
126 Views
Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee. Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu. Jana...
17 Reactions
63 Replies
622 Views
Kuna feelings flani hivi ameiziiing Eti wakuu?
2 Reactions
17 Replies
194 Views
GENERIC POST DESCRIPTION SECTION 1 Position Information Vacancy Number IOM/MKR/032/2024 Position Title Operations Assistant – Team Leader (Field Support) Position Grade G5 Duration 1...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe...
0 Reactions
12 Replies
94 Views
Tembelea vyoo vya uma vya hapa Tanzania ujionee maajabu! Vingi ni vichafu hakuna mfano. ~ vyoo vya vituo vya mabasi ~ vyoo vya sokoni ~ mpaka na vyoo vya baadhi ya mahospitali navyo vipo kwenye...
0 Reactions
3 Replies
45 Views
Jumuiya ya Maendeleo ya nchini za Kusini mwa Afrika (SADC), imetangaza kuwa vikosi vyake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vitafanya mashambulizi, kwa ushirikiano na vikosi vya serikali, ili...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Kila mtoa huduma ambae ana sadikika ana nguvu kubwa ya uponyaji anaweka makazi na huduma yake katika majiji makubwa, why? Ina maana Hakuna mtumishi mwenye karama kubwa alie inuliwa tandahimba...
4 Reactions
11 Replies
105 Views
Hifadhi ya taifa ya mlima Udzungwa inapatikana ndani ya mkoa wa Morogoro, Tanzania. Ni hifadhi ilivyobarikiwa kuwa na mandhari hadhimu yenye kuvutia. Ni hifadhi ambayo ina upekee wake, ni...
2 Reactions
19 Replies
541 Views
Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani Na anachuki na wachezaji fulani Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari...
1 Reactions
1 Replies
15 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,893
Posts
49,758,915
Back
Top Bottom