Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na...
Pamoja na kukusanya mapato kila siku ya shs 500 kupanda kivuko, lakini kuna shilingi 200 kwa kila anayetumia huduma ya vyoo hapa ferry.
Kitu kinachochefua ni huduma mbovu ikiwepo na ubovu wa...
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
Niliwahi kuwa na binti mmoja mrembo kwelikweli toka visiwani kizimkazi.
Siku ya kwanza nikakuta kikombe kaingia nacho chooni anapiga mswaki.
Sijakaa sawa kachukua ndoo ya chooni kakingia maji...
Naona Teuzi za Leo kwenye mambo ya Mipango zimesheheni Wazee Mabalozi Wasomi wa Zamani siyo hawa wa Extended High school
Sasa kwa Dunia hii ya Artificial intelligence sijui Upepo utawaendeaje...
Mh Nape Nnauye Watanzania wako wana uelewa mkubwa sana kuhusiana na maswala yote ya faragha, ndio maana hakuna Kibandaumiza chochote kinachoonesha video za ngono na wala hakuna sehemu yeyote ya...
Chukua hii nakupa; japo hatupangiani maisha kila mtu anajua jinsi anavyoyaendesha ila kiukweli life ni gumu ndugu zangu na mwaka huu huku mashambani hali sio hali hasa Kwa upande wa zao la...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Maimuna Ahmad Pathan amehoji juu ya mamlaka kutochukua hatua juu ya ujenzi wa Barabara ya Kibiti-Lindi akidai imejengwa katika kiwango cha chini na ilionesha...
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea.
Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.