Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mateka 4 waliotekwa na Hamas mwaka jana wameokolewa Leo na Jeshi la Israel Source BBC
5 Reactions
37 Replies
752 Views
Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus...
24 Reactions
968 Replies
35K Views
Hivi ndugu zangu naomba niulize ni kwa nini miradi mingi ya serikali huwa inachelewa au kufa kabisa na huku tukishuhudia miradi binafsi ikikamilika kwa muda na viwango vizuri. Shida ni nini? 1...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya...
16 Reactions
81 Replies
3K Views
LEO BORN TOWN NIMETAPELIWA/NIMEIBIWA, SIJUI ILIKUWAJE, NIMEBAKI NAJICHEKA TU. Basi bhana leo jumapili ya tarehe 17-03-2024 nikaamka zangu maghetoni nikasema wacha nikanunue boxer kabwe...
25 Reactions
54 Replies
3K Views
Jeshi la Israel linasema kuwa vikosi vyake vimewaokoa mateka wanne kutoka katikati mwa Gaza wakati likizidisha mashambulizi katika eneo lililozingirwa na kushambuliwa kwa mabomu. Tangazo kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
69 Views
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi. How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya? Ikulu imekuwa...
45 Reactions
360 Replies
19K Views
Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno...
6 Reactions
21 Replies
162 Views
Mheshimiwa Dr Betty Mkwasa anatajwa kuchukua nafasi ofisi Kuu. Kwa hakika tumepata jembe. All the best
1 Reactions
18 Replies
389 Views
Natumaini Mko Salama Wapendwa wa JF, Huu ni Mtazamo wangu Binafsi Lakini kwa Namna Moja Ni Uhalisia Kwa Baadhi ya watu. Sisemi Kuwa Maisha Yangu Yameharibika Lakini Yamebadilika Mabadiliko...
4 Reactions
31 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,384
Posts
49,828,334
Back
Top Bottom