Hivi ukimaliza form six ukapangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Naomba mwenye kufahamu hili anijuze. Natanguliza shukrani
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Kumekuwa na tabia sugu ya viongozi wengi wa Dini kusoma aya zinazohamasisha tu kutoa SADAKA. Lakini pia wamekuwa wakibuni mbinu za kila aina za kuwakamua Waumini wao Makanisani.
Mambo ya ovyo...
Wakuu ni takribani wiki kazaa nilkuja na uzi wa kuhamia mwanza, niseme tu ukweli tangu nimefika hapa jijini sijawahi kupaelewa katika harakati zangu..
Mbaya zaidi sehemu nilipokuepo mwanzo...
Habari za asubuhi wadau
Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja.
Ni...
Kino Yves ni mtalii Raia wa Ufaransa anayezunguka Dunia nzima Kwa baiskeli ya miguu mitatu kama Ile ya walemavu wa miguu inafana kidogo
Alipofika kigoma kijijini sana alikutana na meanakijiji...
Kifupi tu. Raia wengi wananitolea mijicho kama nmekula chao. Huyu dada alikuwa mke wa jamaa yangu sana. Jamaa tulisoma naye sekondari.
Mwaka juzi jamaa akavuta mkoani knjaro.ila wakati afya yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.