Wakuu habari za Kazi hii kitu inaitwa Pi network kwa wanaoifahamu au kuifuatilia mnaionaje ni kweli itakuja kuipikua Bitcoin au ni Mbwebwe tu kama maana naifuatilia project yake iko Serious Sana
Rafiki yangu mpendwa,
Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo.
Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni...
Nimesikitishwa sana baada ya site zote za pornography kufunguliwa kipindi hiki watoto wako likizo.
Nimuda mwafaka waziri anaehusika atoke hadharani aseme sababu au ablock site zote za x videos...
Mkubwa Dawa, hii ndio lugha ambayo vijana wa mitaa wanaitumia, hasa pale mtu mzima anapofanya jambo la kufurahisha ama kushangaza.
Mkongwe Juma Kapuya ametangaza kurejea Bungeni 2025 kwa kugombea...
Habari wanajamvi Ninaomba Msaada juu ya kufunguliwa Kwa account yangu ya whatsapp iliyofungiwa burned
Natumia whatsapp messenger Pelee na sikufanya chochote Kama forwarding SMS wala majibizano na...
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya...
Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno...
Wadau hamjamboni nyote?
Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi.
Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.