Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza...
17 Reactions
72 Replies
3K Views
=== Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania. Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
33 Reactions
192 Replies
3K Views
Mheshimiwa Dkt. Betty Mkwasa anatajwa kuchukua nafasi ofisi Kuu. Kwa hakika tumepata jembe. All the best
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe. Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu. Niwakumbushe Nyalandu...
1 Reactions
22 Replies
415 Views
Ndugu zetu wazenji bhana 😄😄😄 Taarabu mpaka kwenye mpira wa miguu!. Anyway tuzo zinanikumbusha mahafali yangu ya standard seven.Hongereni
6 Reactions
8 Replies
157 Views
Wakuu ni takribani wiki kazaa nilkuja na uzi wa kuhamia mwanza, niseme tu ukweli tangu nimefika hapa jijini sijawahi kupaelewa katika harakati zangu.. Mbaya zaidi sehemu nilipokuepo mwanzo...
0 Reactions
2 Replies
55 Views
Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA, Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe, Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao 1. Zitto Zuberi...
11 Reactions
122 Replies
2K Views
story hii ya cpa CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni...
1 Reactions
8 Replies
178 Views
SIGIL YA MAMMON; FUNGUA NJIA YA MAFANIKIO NA UTAJIRI KWA KUTUMIA SIGIL YA MARMON. Najua wengi wetu tunapenda Pesa na mafanikio, Tunapenda kumiliki mali (Material gain) basi katika pita pita...
1 Reactions
18 Replies
386 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,475
Posts
49,831,349
Back
Top Bottom