Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC.
𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 :
Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema...
Wanawake ni viumbe vya hisia. 90% ya matendo yao yanaendeshwa na hisia zao. Ndio maana watachukua hatua kila wakati kabla ya kufikiri na baada ya kusababisha uharibifu mwingi, watakuja kuomba...
Habari kwa wanaJamiiForums wote!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, siku ya jana baada ya kuifungua account yangu ya whatsApp niliendelea na mambo yangu ya kawaida (ku-chat na kuangalia...
Kama vile wanaume wanaona mwanamke pisi kali atakua na wengi au wengi wanamtaka, hata wadada kumbe wanayo.
Yani ukikutana na mdada ukisema "niko single" wanakataa wanakwambia " yani we ulivyo...
Kuishi na mwanaume anayejua mapenzi huwazi sex kila mara ila unawaza mume wako atarudi saa ngapi akupe utramu wa hali ya juu.
Kuna tofauti ya sex tu na haja zikatimizwa kibabe na ule utamu...
Ndugu wana-Jamvi Wakati Vugu vugu la Uchaguzi linazidi kupanda kuelekea mwakani 2025, wabunge matumbo joto kila kona na tayari sarakasi zimeanza. Wilaya ya Mufindi imekuwa kwenye dawati kwanza...
Habari zenu,
Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.
Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na na chuki binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.