Kuna mwana, alizifuma text za mke wake zilizo onesha dhahiri shahiri ametoka kukiwa dodo siku za karibuni nyumba ya wageni, mwana kaomba kila mtu ushauri wengi walimpa ushauri kuwa asamehe walee...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Hili ni Swali lililotokana na ukweli kwamba huyu mtu ni Smart kuliko hata wale wanaomtesa wanavyomfahamu
Hotuba zake kadhaa alizowahi kuzitoa kabla hajakamatwa na kubambikwa kesi ya Ugaidi...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji msaada wa maelezo wa uwanda wa ajira kati ya kozi Bsc in Environmental health science na Bsc in Environmental Science and managememt.
Je ipi ni bora?
Habari wakuu, hapa price itashuka au itaendelea kwenda juu,
I have made my own analysis but I just wanna here what do you see hii ni USDCAD, na ni 1H time frame!
Wakuu bila shaka ni wazima, bila shaka wote tunaelewa maisha yalivyojaa changamoto za kila aina.
Kuna watu ni wepesi kueleza yale yanayowasibu, ila kuna akina sisi ambao huwa tunakufa na tai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.