Imefikia kipindi nikiona tu sio wewe unayesoma taarifa ya habari basi naondoka au nabadilisha channel.
Na nilivyo mgonjwa wa big nyashi, sehemu muhimu zaidi kwangu ni pale unapogeuka na kutembea...
#Taarifa kutoka katika vyanzo mbali mbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
===
David Kafulila, Mkurugenzi PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya,
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia...
https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm
Huko ni Burkina Faso.
Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka...
Ni hatari kwa kweli Utu na Upendo vinatoweka kwa kasi sana hapa duniani
Jumapili ya kesho nitaitumia kuliombea taifa la Tanzania Ili Mungu wa mbinguni aturejeshee ule Upendo wa mwanzo...
Kabla ya kuingia kwenye ndoa kuna zile FACTORS za muhimu kila mtu huwa anazingatia. Kutokana na utofauti wa kimtazamo na fikra kila mtu anakuwa na Criteria zake.
Kutokana na uelewa, experience na...
Habari za asubuhi wadau
Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja.
Ni...
Kuna fununu sana Arusha kwamba mtoto pendwa ndio anaichukua Hoteli ya Mount Meru, na ikumbukwe pia kuna fununu za kuinunua Impala Hoteli iliyokuwa inamilikiwa na Bilionare Mrema. Sasa ni Mount...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.