Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na na chuki binafsi...
Huenda hotuba hii ya Askofu Mwanamapinduzi ndio chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi.
=======
Askofu Machumu: Chini ya Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan, yeye ndio ameamua rasmi kuiuza...
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "ChitChat".
Ni tumaini langu wote ni wazima.
Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma...
Mkubwa Dawa, hii ndio lugha ambayo vijana wa mitaa wanaitumia, hasa pale mtu mzima anapofanya jambo la kufurahisha ama kushangaza.
Mkongwe Juma Kapuya ametangaza kurejea Bungeni 2025 kwa kugombea...
Ukiwa katika mrija awamu hii usipojenga usilaumu mtu. Ni mwendo wa kufyonza kuanzia TRA, SGR, halmashauri pamoja na ripoti za CAG kuwataja wafyonzaji. Mwaka mpya wa Fedha unarudia kufyonza upya...
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha...
Kwa heshma na taadhima napenda kuwajulisha umma wa Watanzania. Kuwa tusiwe na haraka wala hofu 2030 Bumbuli tunakwenda kutoa kiongozi kijana Africa na duniani. Stay tuned!
Wana jf nataka leo tuambizane ukweli kwanini sisi wanaume warefu dark tunawapagawisha sana watoto wa kike, kwa mfano mm wanawake walikuwa wanapigana kwaajili yangu toka olevel,Alevel hadi chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.