Kiongozi wa zamani wa Chadema aliyewahi kugombea Ubunge Jimbo la Mtama Suleiman Methew Luwongo amefariki Dunia
Methew amewahi kuzichezea timu maarufu nchini Yanga na Simba
Source: Kitenge tv...
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka , Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia.
Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari...
Mjumbe wa Bodi ya Simba SC CPA ISSA MASOUD akiongea na Waandishi wa habari Jana, amekiri kwamba shilingi bil. 20 alizoahidi mwekezaji Mohamed Dewij "Mo" hazijawahi kuwekwa popote Bali aligeuza...
Wasaalam.
4 Juni, 2024, Dodoma.
________________
Athuman Kapuya Foundation ni shirika lililosajiliwa mwaka 2021 ambapo, kwa kipindi chote limetekeleza matakwa ya kisheria ya uwasilishaji wa...
Hupaswi kusubiria hadi ajue kuongea ndipo uanze kumfundisha. Unaweza kuanza kumfundisha tokea akiwa na umri wa siku moja.
Miongoni mwa mambo ya kumzoesha mapema ni pamoja na:
1. Kunawa mikono...
Hivi kwanini wanawake siku za ibada hasa jumapili, wanaifanya kama ni siku ya fasheni na kujionyesha kwenye kujipamba na mavazi tofauti na makusudi ya imani.
Kuna wanawake bila nguo mpya anaona...
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
Niwakumbushe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.