Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwakani kununa wabunge na wabunge Hawata lud maana wamehalibu sana
4 Reactions
12 Replies
108 Views
Mimi kwakweli ile album ya wenge musica bcbg yenye nyimbo kama masuwa, bana lunda, ndombolo n.k ilinikuta katika mapito magumu. Leo hii nikisikia nyimbo yoyote ya kwenye ile album nakumbuka...
3 Reactions
68 Replies
464 Views
Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi...
30 Reactions
130 Replies
3K Views
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana...
13 Reactions
98 Replies
1K Views
Kama vile wanaume wanaona mwanamke pisi kali atakua na wengi au wengi wanamtaka, hata wadada kumbe wanayo. Yani ukikutana na mdada ukisema "niko single" wanakataa wanakwambia " yani we ulivyo...
5 Reactions
33 Replies
191 Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
32 Reactions
230 Replies
2K Views
NUKUU “Nimepata taarifa kuwa kisiwa chetu cha Mafia kilichopo Tanganyika kinapigwa bei (kinauzwa). Naomba tuendelee kufuatilia na kupiga kelele,”… Dokta Willibrod Slaa...
12 Reactions
115 Replies
1K Views
Kabla ya kuingia kwenye ndoa kuna zile FACTORS za muhimu kila mtu huwa anazingatia. Kutokana na utofauti wa kimtazamo na fikra kila mtu anakuwa na Criteria zake. Kutokana na uelewa, experience na...
5 Reactions
85 Replies
572 Views
Habari za wakati huu ndugu zanguni. Nimekaa mahali maeneo ya magomeni karibu na bara bara kuu nikasikia hilo tangazo, wakitangaza kupitia gari ndogo maarufu kama "KIRIKUU" Kwa mujibu wa...
9 Reactions
90 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,428
Posts
49,830,134
Back
Top Bottom