Habari wana Jukwaa,
Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa...
Habari zenu wanajamvi?
Watu wengi hasa wafuatiliaji wa mambo yanayoendelea nchini kwenye uga wa siasa wameshtushwa kwa ukubwa sana juu ya uwezo wa Lissu kufanya mikutano bila nguvu ya ufadhili wa...
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja.
Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo tarehe 08/06/2024 kinafanya Mkutano wake wa hadhara Singida Mjini, ambako Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atahutubia wananchi.
Kama ilivyo...
Naombeni ushauri nineumiza kichwa kuhusu mabati bora ya kuezekea kuna mtu kanishauri nichukue ALAF SIMBA DUMU ile isiyo na rangi migongo midogo mwenye uzoefu nayo tafadhali 🙏🙏🙏
Mimi kwakweli ile album ya wenge musica bcbg yenye nyimbo kama masuwa, bana lunda, ndombolo n.k ilinikuta katika mapito magumu.
Leo hii nikisikia nyimbo yoyote ya kwenye ile album nakumbuka...
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika.
Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao.
Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.