Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habarini za jioni wadau wa JF, Mimi nimhitimu wa chuo mwaka 2013,Nina degree ya maendeleo ya jamii,naomba kwa mwenye connection yeyote ya kazi, sichagui Wala sibagui kazi yeyote nafanya. Asanteni
2 Reactions
13 Replies
129 Views
1) Hana pesa 2) Ni Mwenye hofu ya Mungu. 3) Ni mgonjwa. Nje ya hapo, bakora ni lazima😜😜
12 Reactions
77 Replies
2K Views
Peter Msigwa Amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Kanda ya Nyasa ambako anachuana na Sugu kwa madai ya Rushwa na kumpendelea Sugu. Just imagine hiki ndio chama Cha Upinzani kinachodia...
2 Reactions
28 Replies
352 Views
Huu ni udhalilishaji, na wakili wa TLS ameshirikiana na Makonda kudhalilisha huyu mama. Wanasheria wa Halmashauri hawaendi Mahakamani, kwa mujibu wake, kwa sasa Ofisi ya wakili mkuu iliyopo DSM...
2 Reactions
40 Replies
1K Views
Wakuu nimejaribu kuangalia kwene website yao sioni hata sehemu ya kulog in.
2 Reactions
86 Replies
802 Views
Nakuomba mpenzi uniskize Tafadhali baby tuliza moyo kwa kweli. Niko wako Hivyo usiwe na shaka Wewe kaa ukitabasamu Mara tu ukiniona Penzi letu halina kasoro Mimi na wee ′tapendana kiroho Nakusihi...
2 Reactions
17 Replies
178 Views
Makampuni yanatumia vitu vidogo sana kutupiga hela, ukichukua simu ya 4g na 5g kwa internet ya tz download vitu kwa pamoja kwa mtandao mmoja utaona hazipishani Utakuta mtu simu kuwa na 5g anauza...
1 Reactions
25 Replies
253 Views
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana. Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
52 Reactions
193 Replies
4K Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
18 Reactions
194 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,017
Posts
49,735,487
Back
Top Bottom