Hivi hizi kampeni za upandaji miti huwa ni usanii au kitu gani? Maana unakuta baada ya zoez Hilo hakuna mwendelezo Wala ufuatiliaji. Korea/Seoul miti kila pahala. Sisi yupo bize na kukopwa tu
Wakuu.
Tulioana juzi kati kwenye Malaysia Auto Show kampuni kutoka China Aion ambayo ni tawi la CAG wamezindua Aion Hyper HT SUV gari linalofanana na Tesla Model X.
Wachina bwana: Wameiiga Tesla...
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako
1. IPHONE -watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan...
Ifuatayo ni orodha ya nchi zenye idadi kubwa ya watu waliojitanabaisha kama wana upinde [emoji2380]
:
[emoji1198]Philippines: 11%
[emoji631] US: 11%
[emoji1242] Thailand: 10%
[emoji1054] Brazil...
Mimi kwakweli ile album ya wenge musica bcbg yenye nyimbo kama masuwa, bana lunda, ndombolo n.k ilinikuta katika mapito magumu.
Leo hii nikisikia nyimbo yoyote ya kwenye ile album nakumbuka...
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe...
Habari za asubuhi wadau
Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja.
Ni...
Naomba ushuhuda wa mtu aliyekuwa na bawasiri ya ndani akatumia dawa iwe ya hospitali au Tiba mbadala akapona atusaidie na sisi maana tumetumia hizo dawa za kienyeji mpk tumechoka Hela tu inaenda...
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.