Wakati timu nyingine za ligi kuu zikiwa bize na usajili kuelekea msimu ujao,huko ukoloni kwa sasa hivi ni piga nikupige. Acha inyeshe tujue panapovuja.
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya...
Habari zenu wanajamvi?
Watu wengi hasa wafuatiliaji wa mambo yanayoendelea nchini kwenye uga wa siasa wameshtushwa kwa ukubwa sana juu ya uwezo wa Lissu kufanya mikutano bila nguvu ya ufadhili wa...
In most cases, hawa watu huwa wananyege sana.
Kwenda gym kwa ajili yakujikinga kupata hiyo kitu ni kama kuongeza petrol kwenye moto.
Hii sijui kitaalamu imekaaje....
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo tarehe 08/06/2024 kinafanya Mkutano wake wa hadhara Singida Mjini, ambako Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atahutubia wananchi.
Kama ilivyo...
Habari wadau, kama nilivyo eleza hapo awali nahitaji mawazo yenu kuhusu biashara ya kufanya kongowe pwani kwa mtaji wa laki 5.
Pia soma Nahitaji ushauri nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani?
Salaam, Shalom!!
Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi,
Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa...
Vijana wengi wanatazama tv si kwa lengo la kupata elimu na habari muhimu, bali wanatazama kuiga mambo. Mf anatazama maigizo anajifunza kuharibikiwa maadili kama binti mdogo anaiga majibu ya hovyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.