Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukiangalia kwa makini siasa za Afrika zinavyoendeshwa Kwa Sasa, unaweza kuona pasina shaka kuwa mserereko wa kurudi nyuma miaka 200 iliyopita ni mkubwa sana. Kabla ya Mkutano wa Berlin...
13 Reactions
17 Replies
348 Views
Kuna vijana wengi wamejiajiri kwenye kazi ya ufundi simu Ila Kati ya 20 waweza pata mmoja tu ndo anaelewa kidogo kuhusu simu walio Baki ni kuchoma maiki tu na kubadili vioo kwani hata kubadili...
3 Reactions
8 Replies
200 Views
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa...
3 Reactions
13 Replies
199 Views
Binafasi napendekeza badala ya kuwapa waalimu mitihani kabla ya kuajiriwa, kuwe tu na kigezo cha pass stahiki cha masomo atakayofundisha..... Sijui kwa nini umchague mwalimu wa Kiswahili & History...
0 Reactions
9 Replies
100 Views
Katika hali inayoelekea kuwachanganya wamarekani Urusi imetuma manowari zake zaidi ya 8 katika pwani ya marekani nchini Cuba sababu ikitajwq ni maandalizi ya mazoezi ya pamoja. Hii ni mara ya...
10 Reactions
91 Replies
4K Views
Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye. Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa...
7 Reactions
51 Replies
740 Views
Ugumu wa maisha unaoambatana na ukosekanaji wa ajira kwa mabinti, kukosa mawazo sanifu ya kibiashara pamoja na mitaji, na ugumu wa maisha unaoambatana na kupanda kwa bei za kimaisha ni miongoni...
7 Reactions
37 Replies
732 Views
Hellow Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na...
7 Reactions
38 Replies
547 Views
Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na...
1 Reactions
8 Replies
45 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,215
Posts
49,823,230
Back
Top Bottom